Mchezo wa kubeti ni mchezo maarufu sana Tanzania. Wengi wamejipatia vipato kupitia mchezo huu na hata kubadilisha maisha yao. Lakini si kila anae beti ana ujuzi au utaalamu wa kubeti. Wengi wamekua wakibeti kiholela bila ujuzi au kupewa mbinu za kubeti na wataalamu. Jambo ambalo hupelekea zaidi ya asilimia 90 ya wanao beti kupoteza fedha. Yes ni asilimia 10 tu ya wanao beti ndio hupata faida kwa muda mrefu. Muda mrefu tunamaanisha kuanzia miezi 3, miezi sita, mwaka na kuendelea.