Application nzuri itatoa aina mbalimbali za ligi, zikiwemo ligi kuu kama vile Ligi Kuu ya Uingereza, La Liga, Serie A, na Bundesliga, pamoja na ligi nyingine ambazo hazijajulikana sana. Hii itakupa uwezo wa kuweka dau kwenye mechi na timu tofauti tofauti. Zaidi ya hayo uwepo wa aina mbalimbali za kubeti zitakupa fursa ya kuchagua kubeti kwa style tofauti tofauti kama vile kabla ya mechi(pre-match), moja kwa moja(live), kubeti idadi ya magoli(under and over)
Muonekano mzuri kwa mtumiaji ni urahisi wa matumizi wakati wa kubet. Urahisi wa matumizi unakuja kwa kuwa na user interface nzuri na navigation nzuri. Programu ya kubeti inapaswa kuwa angavu na rahisi kutumia, ikiruhusu ufikiwaji rahisi wa chaguzi za beti.
Application za kubeti zinatofautiana odds na kutoa ofa na bonasi. Ni muhimu kulinganisha odd kati ya tovuti mbalimbali ili kuhakikisha kwamba unapata odds bomba zitakazokupa thamani bora zaidi ya dau lako. Kabla ya kuamua app ipi sahihi kwako, hakikisha kuwa umesoma vigezo na masharti vya ofa au bonasi yoyote kabla ya kuikubali, hakikisha kuwa umevielewa na umeridhishwa navyo.