Kabla ya kuanza kutumia mbinu hii ya “Pandisha Levels” unapaswa kutenga mtaji maalumu kwa ajili ya biashara hii. Mtaji huo hautakiwi kutumiwa kubeti katika odds nyingine zozote isipokua katika “2+ Safe Basketball Odds”
Ili kufahamu unahitaji mtaji kiasi unapaswa kujiuliza… Je kwa mwezi unatamani kutengeneza faida kiasi gani? Ukipata jibu, chukua jibu lako kisha lizidishe mara 2! Yes huo ndio mtaji utakao hitajika kukupatia faida hiyo kwa mwezi. Kwa mfano unataka kutengeneza Tsh 500,000/= kwa mwezi. Utachukua Tsh 500,000/= x 2 = Tsh 1,000,000/= hivyo utahitaji kuwa na mtaji wa Tsh 1,000,000= kutengeneza faida ya Tsh 500,000Tsh kwa mwezi