shindabetlogo-white

Jinsi Ya Kubeti Na Kushinda Kila Siku

Hakuna ubishi kwamba kubeti ni mchezo ambao una faida kubwa ndani ya muda mchache kama tu utaweza kubeti kwa kupata faida kila siku. Kubeti na kushinda kila siku bila kupoteza mtaji sio jambo jepesi na haliji hivi hivi bila kufahamu namna sahihi ya kubeti. Kubeti ni sayansi na kushinda kila siku inawezekana ikiwa tu utajua kanuni za kisayansi za kuzingatia badala ya kutegemea bahati wakati wa kubeti. Leo tumekuletea mambo matatu muhimu ambayo ukiyazingatia ya takuongoza jinsi ya kubeti na kushinda kila siku.

1. Ujue Mchezo Nje Ndani

Wakati wowote kabla ya kubeti iwe katika ligi au mashindano  yoyote, hakikisha unafahamu mambo haya; timu shiriki na wachezaji wake, historia kati ya timu hizo, fomu ya timu hizo sasa, wachezaji bora katika timu, wachezaji wabovu katika timu, udhaifu wa timu shiriki, na kadhalika. Kuchambua mambo haya kutakupa muelekeo na ujuzi utakao kusaidia jinsi ya kubeti, namna ya kufanya maamuzi na kuweka mikeka itakayo shinda kila siku.

2. Chagua Aina Sahihi Ya Kubeti.

Kuna aina mbalimbali za kubeti baadhi ya zile maarufu ni 1×2, handcap, timu zote kufungana, magoli zaidi au magoli pungufu n.k. Katika aina hizi za kubeti, kuna zenye faida kubwa kuliko nyingine, kuna zenye risk kubwa kuliko nyingine na aina fulani ni salama zaidi kuliko nyingine kulingana na muktadha na aina ya mashindano.

Kwa mfano: uchezaji wa both team to score na over/under 2.5 goals  unajulikana kuwa na faida katika ligi ya La Liga, ambayo kwa kawaida huwa na timu zinazofungana mabao mengi. Hivyo basi kabla ya kuanza kubeti katika mashindano yoyote ni muhimu kuchagua aina ya kubeti itakayo endana na mashindano husika. 

Katika kubeti bahati inaweza kukusaidia kushinda beti kubwa mara moja au mara chachechache. Lakini ukitaka kushinda kila siku bahati itakusaidia kidogo sana au isikusaidie kabisa!! Usinielewe vibaya ninaposema bahati inaweza isikusaidie. Mchezo wa kubeti ni mchezo wa kisayansi na ili kushinda mikeka kila siku unapaswa kuwa na mbinu na mkakati.  Mbinu na mikakati ya kubeti inaweza kuhusisha kuanzia kufikiria kwa kawaida,  mpaka kuweka mahesabu magumu na statistical calculations. Mbinu hizi utazipata kwa kijifunza kutoka kwa wataalam wa kubeti kama ShindaBet kwani tuna ujuzi na uzoefu wa kubeti kwa muda mrefu.

Je Wajua?

Asilimia 90% ya vijana wanao beti hupoteza fedha? Yes ni asilimia 10% tu ya wanaobeti ndio hupata faida katika mchezo wa kubeti. 

Hii imepelekea vijana wengi kuhangaika na kubeti bila ya mafanikio yoyote huku wakiendelea kumtajirisha muhindi.

Yes kampuni ya kubeti hunufaika na hasara zako! Pale unapochana mkeka hela uliyopoteza, kwao ni faida!! 

Jambo hili limesababisha vijana wengi kupata hasara licha ya kuwa mchezo wa kubeti una utajiri kubwa.

Tunajua umechoka kuchana mikeka na ungependa kubadilisha maisha yako kwa kuanza kubeti kwa kushinda, angalau urudishe kiasi cha fedha ulichopoteza kwa muhindi. 

Ondoa shaka ShindaBet tunatoa nafasi kwa vijana 100 kujiunga nasi. Yes.. vijana 100 tu!

Tungetamani kusaidia vijana zaidi ya 100 lakini hatuwezi kusajili watu zaidi ya 100. (Bofya jiunge nasi kufahamu zaidi)