shindabetlogo-white

Utabiri Wa Mechi Za Leo

Utabiri wa mechi za leo

Kufanya utabiri wa matokeo ya mechi za mpira wa miguu unaweza kuwa kazi ngumu kutokana na mambo mengi yanayoweza kuathiri mchezo. Lakini, kutokana na mbinu sahihi, ShindaBet tunaweza kufanya utabiri wa mpira ambao una uwezekano mkubwa wa kushinda. Kila siku tunakuletea mikeka ya mechi za kubeti katika magroup yetu ya WhatsApp na Telegram Buure… Jiunge nasi leo kabla hatujasitisha zoezi la kusajili watu.

Mbinu Za Football Preditction

Ili na wewe uweze kutabiri mechi za mpira wa miguu, unaweza kutumia njia zifuatazo:

  1. Changanua takwimu za timu kama vile mechi zilizopita, ubora wa wachezaji na majeraha.

  2. Angalia rekodi ya head to head kati timu hizo mbili.

  3. angalia kama timu hizo ipo nyumbani au away.

  4. Fikiria mambo yanayoweza ku affect mchezo kama vile, uwanja wa ugenini, hali ya hewa, waamuzi n.k.

  5. Zingatia motisha ya timu. Je timu ina motisha gani? motisha kama vile kuwinda taji au kuepuka kushuka daraja.    

Je Wajua?

Asilimia 90% ya vijana wanao beti hupoteza fedha? Yes ni asilimia 10% tu ya wanaobeti ndio hupata faida katika mchezo wa kubeti. 

Hii imepelekea vijana wengi kuhangaika na kubeti bila ya mafanikio yoyote huku wakiendelea kumtajirisha muhindi.

Yes kampuni ya kubeti hunufaika na hasara zako! Pale unapochana mkeka hela uliyopoteza, kwao ni faida!! 

Jambo hili limesababisha vijana wengi kupata hasara licha ya kuwa mchezo wa kubeti una utajiri kubwa.

Tunajua umechoka kuchana mikeka na ungependa kubadilisha maisha yako kwa kuanza kubeti kwa kushinda, angalau urudishe kiasi cha fedha ulichopoteza kwa muhindi. 

Ondoa shaka ShindaBet tunatoa nafasi kwa vijana 100 kujiunga nasi. Yes.. vijana 100 tu!

Tungetamani kusaidia vijana zaidi ya 100 lakini hatuwezi kusajili watu zaidi ya 100. (Bofya jiunge nasi kufahamu zaidi)