Kuna wataalamu wengi wa kubeti Tanzania lakini je wana vigezo vya kuitwa wataalamu wa kubeti ? Ili uweze kuwa mtaalamu wa kubeti unahitaji muda mwingi wa kujifunza mambo mengi ili angalau uweze kupata matokeo chanya katika kubeti. Kumekua na wimbi kubwa la watu wanaodai ni wataalamu wa kubeti bila kujali kama wanaufahamu vizuri mchezo wa kubeti? Leo tunachambua sifa 4 kuu ambazo lazima awe nazo mtaalamu wa kubeti
Ili mtu awe mtaalamu mbobezi katika maswala ya kubeti, ni lazima awe na uzoefu katika kubeti kwa muda usiopungua miaka mitano. Yes! miaka mitano ndio kiwango cha chini cha uzoefu kinachohitajika. Ndani ya miaka mitano, kila mwaka atakua amejifunza kitu kipya katika kubeti kama vile; atakua amejifunza namna ya kuchambua soka, mikakati na mbinu za kubeti kwa uhakika na pia atakuwa ameshafahamu kitu gani kinafaa na kitu gani hakifai katika betting! Jambo la kutengeneze mkakati madhubuti wa kubeti huchukua muda mrefu ndio maana mtaalamu yoyote wa kubeti lazima we na uzoefu usiopungua miaka mitano
Mtaalamu wa michezo wa kubeti hufanya uchambuzi uchambuzi mchezo na kufanya machaguo kulingana na facts na findings alizopata katika uchambuzi wake. – Ikiwa mtaalamu wa kubeti hawezi hata kutoa uchambuzi na hoja za kimsingi zilizopelekea chaguo walizofanya, basi kuna uwezekano kwamba mtaalamu huyo hutumia bahati katika kubeti kitu ambacho hakina faida kwa muda mrefu kwani kubeti ni sayansi hivyo ni lazima ufate taratibu za kisayansi!
Mtaalamu halisi wa kubeti huchaji bei nafuu kwa wafuasi wake kwani anakua amelenga kuwawezesha wafuasi wake kushinda na sio yeye kujipatia kipato kikubwa cha maramoja. Wapo scammers mitandaoni wanao chaji hela kubwa wakidai kukupa sure odd. Mfano wengine huchaji mpaka 250,000/= kwa sure odd moja. Bei kama hii hailengi kumsaidia mdau wa kubeti bali inalenga kumkandamiza, kumpatia Scammer pesa. Wataalamu wa design hiyo wengi huwa ni scammers na unakuta tayari ameshafahamu kuwa hana uhakika na kazi yake hivyo anataka apige hela nyingi kutoka kwako kisha atokomee.